Rudi kwenye Matukio
Matukio ya Klabu Maelezo ya Tukio
28 Machi 2026
MATENDO YA HURUMA
Tukio la Klabu

MATENDO YA HURUMA

CH
Chairperson and Secretary
Mwandaaji
Lini:Machi 28 – Machi 28, 2026
Imechapishwa na:janeth wiliam
Tarehe za Tukio
Machi 28 – Machi 28, 2026
Muda
mchana – 5 a.m
Mahali
Dogo Dogo Center, Bunju
Iliyopangwa na
Chairperson and Secretary

Kuelewa maana na umuhimu wa huruma katika jamii
Kuhamasisha upendo, ukarimu na msaada kwa watu wenye mahitaji
Shughuli za kujitolea na njia mbalimbali za kusaidia wengine
Kuhamasisha vijana kushiriki katika shughuli za kijamii na za kibinadamu
Kushirikishana uzoefu na simulizi zenye kuhamasisha kuhusu matendo ya huruma
Kujadili namna matendo madogo ya wema yanavyoweza kuleta mabadiliko makubwa
Kujenga utamaduni wa kujali na kuwajibika katika jamii

Mada Zitakazojadiliwa

Nguvu ya Huruma: Kuhudumia, Kusaidia na Kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii

Kuhusu Tukio Hili

Iliyopangwa na

Klabu ya St. Gaspar Viwawa

Chairperson and Secretary

Vinjari Matukio Zaidi

Gundua matukio zaidi yajayo na kumbuka mikusanyiko iliyopita ya jumuiya yetu.

Matukio Yote ya Klabu
Kiungo kimenakiliwa