Kikao hiki kinalenga kuwasaidia wanaume kubadilisha mtazamo wao, kujenga uhusiano mzuri kati yao, kuimarisha umoja na mshikamano, kushirikiana katika changamoto mbalimbali, kujifunza kutoka kwa kila mmoja, na kufurahia muda wa pamoja katika mazingira ya upendo na urafiki.
Mada Zitakazojadiliwa
Kujenga Mahusiano Chanya Kati ya Wanaume Kupitia Ushirikiano na Urafiki
Kuhusu Tukio Hili
Iliyopangwa na
Klabu ya St. Gaspar Viwawa
Chairperson and Secretary