Rudi
Habari za Kanisa
HUDUMA ZA BENKI YA MKOMBOZI IPO PAROKIANI
Inafunguliwa saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni kilasiku za wiki na wikiendi
HIJA PUGU
Jimbo la Dar es salaam linawakaribisha wote kuhudhuria kumbukumbu ya wamisionari waliouawa Pugu Misa saa 3 asubuhi pia kutakuwa na hitimisho mwaka wa jubilei kuu Jiandikishe ofisini Kwa sista mwisho Alhamisi
Maaskofu Tanzania walaani mauaji ya kikatili na kinyama ya vijana&watu wengi
Mauaji ya kabla, wakati na baada ya uchaguzi
ASKOFU MKUU KATIKA MISA YA KUMBUKIZI YA MISA YA MAUAJI YA UCHAGUZI
Askofu mkuu misa ya kuwakumbuka marehemu waliouawa kwenye uchaguzi