1
Nimebarikiwa
1
Maombi
0
Maoni
1
Kushirikishwa
Namshukuru Mungu kwa kazi aliyonipa baada ya kumalizia shule miaka 8 iliyopita sijawahi kuajiriwa. Nilifunga novena,nilihiji vituo vya sala kuombea hitaji hili la Ajira. Sasa nimepata ajira ya kudumu kukurico sehemu ninayoipenda na kuiona kama familia yangu ya pili baada ya nyumbani kwangu.
Maoni na Majibu (0)
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni yako!
Tafadhali ingia ili kuacha maoni.