LEGIO MARIA

Kuhusu Kikundi Chetu

Lejio Maria ni chama kinachosali rozari na Antifona kwa kupitia maombezi ya Mama Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili kumfikia Mungu. Kilianzishwa na Frank Duff mlei kwa ajili ya kuhimiza watu kusali rozari kuombea Amani ulimwenguni na toba kwa wakosefu waokolewe roho zao. Kinasaidia kusuluhisha migogoro katika jamii ikisaidiana na Mapadre na watawa. Ni waombezi wa kanisa mahalia kuombea shughuli na kalenda ya kanisa hilo.

Mikutano Inayokuja

Ratiba ya Mikutano ya Kawaida

Kila Saturday
9:00 AM
Grotto

Mkutano ujao: Septemba 5, 2026

Kiongozi wa Kikundi

Taarifa za Haraka
  • Aina ya Kikundi Mixed
  • Kundi la Umri 7-120
  • Imeanzishwa 2025