LEJIO MARIA
Kuhusu Kikundi Chetu
Lejio Maria ni chama kinachosali rozari na Antifona kwa kupitia maombezi ya Mama Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili kumfikia Mungu.
Kilianzishwa na Frank Duff mlei kwa ajili ya kuhimiza watu kusali rozari kuombea Amani ulimwenguni na toba kwa wakosefu waokolewe roho zao.
Kinasaidia kusuluhisha migogoro katika jamii ikisaidiana na Mapadre na watawa. Ni waombezi wa kanisa mahalia kuombea shughuli na kalenda ya kanisa hilo.
Mikutano Inayokuja
Ratiba ya Mikutano ya Kawaida
Kila Saturday
9:00 AM
Grotto
Mkutano ujao: Januari 17, 2026
Group Leader
Taarifa za Haraka
- Group Type Mixed
- Age Range 7-120
- Imeanzishwa 2025