Rudi
Tukio
KUMBUKIZI YA WATOTO MASHAHIDI

KUMBUKIZI YA WATOTO MASHAHIDI

Imechapishwa na: Member2 Member
Imechapishwa: Disemba 1, 2025
Location: Kristu mfalme Tabata
Sherehe za krismasi ya watoto ikianza na Misa Takatifu itakayoongozwa na Baba Askofu mkuu, Kila jumuiya inatakiwa kupeleka majina na kiasi Cha Tsh 30,000 Kwa Kila mtoto ofisini Kwa sista

Maelezo Zaidi

Kumbukizi ya watoto mashahidi