Rudi kwenye Habari
Habari za Kanisa Makala
MAFUNDISHO YA EKARISTI TAKATIFU KIPAIMARA NA UKATEKUMENI
Habari

MAFUNDISHO YA EKARISTI TAKATIFU KIPAIMARA NA UKATEKUMENI

ER
ERICA LELLO
Mwandishi
Sep 02, 2025
Muda wa kusoma ~ 3 dakika

Mafundisho yanaendelea wazazi walezi andikisheni watoto na vijana wenu

Maelezo Zaidi

Ekaristi na Kipaimara ni Kila alhamisi na jumamosi saa 9 jioni Kwa Kiswahili na jumapili saa 1 asubuhi Kwa kingereza na saa 3 asubuhi kwa kiswahili Wakatekumeni Kila jumatano, alhamisi na ijumaa saa 9 jioni Kwa Kiswahili

Mafundisho Ekaristi Takatifu Kipaimara na wakatekumeni

Endelea Kuunganishwa na Jumuiya Yetu

Gundua habari zaidi, matangazo, na matukio yajayo ya familia yetu ya kanisa.

Vinjari Habari Zote
Kiungo kimenakiliwa