Rudi
Habari
HIJA PUGU
Jimbo la Dar es salaam linawakaribisha wote kuhudhuria kumbukumbu ya wamisionari waliouawa Pugu
Misa saa 3 asubuhi pia kutakuwa na hitimisho mwaka wa jubilei kuu
Jiandikishe ofisini Kwa sista mwisho Alhamisi
Maelezo Zaidi
Jimbo la Dar es salaam linawakaribisha wote kuhudhuria kumbukumbu ya wamisionari waliouawa Pugu Misa saa 3 asubuhi pia kutakuwa na hitimisho mwaka wa jubilei kuu Jiandikishe ofisini Kwa sista mwisho Alhamisi