Rudi
Tukio
KIPINDI CHA MAJILIO JUMAPILI YA KWANZA

KIPINDI CHA MAJILIO JUMAPILI YA KWANZA

Imechapishwa na: Member2 Member
Imechapishwa: Disemba 3, 2025
Location: Parokia ya Mt Gaspar Del Bufalo
Katika Kalenda ya liturujia,Mama Kanisa ametenga vipindi vikuu sita ili kuyakumbuka kwa kuyaadhimisha maisha ya Yesu hapa duniani ambayo kwayo sisi tumekombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mauti kwa ajili ya uzima wa milele.Vipindi hivi ni Majilio, Noeli,Kwaresma,Pasaka,Pentekoste na kipindi cha kawaida cha mwaka.Majilio ni kipindi cha kujiandaa kwa ujio wa pili na kuzaliwa kwake Kristo.Kumbe kwa Dominika ya Kwanza ya kipindi cha majilio tunaanza sehemu ya kwanza ya mwaka wa Kiliturujia.

Maelezo Zaidi