Rudi
Habari
HUDUMA ZA BENKI YA MKOMBOZI IPO PAROKIANI
Waamini wote mnaalikwa kutumia benki yetu ya mkombozi inayotoa huduma parokiani huduma za wakala Mkombozi, Crdb, Mpesa, Tigo pesa, Airtel money na Halopesa
Maelezo Zaidi
Inafunguliwa saa mbili asubuhi hadi saa kumi na moja jioni kilasiku za wiki na wikiendi