LEJIO MARIA
About Our Group
Lejio Maria ni chama kinachosali rozari na Antifona kwa kupitia maombezi ya Mama Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili kumfikia Mungu.
Kilianzishwa na Frank Duff mlei kwa ajili ya kuhimiza watu kusali rozari kuombea Amani ulimwenguni na toba kwa wakosefu waokolewe roho zao.
Kinasaidia kusuluhisha migogoro katika jamii ikisaidiana na Mapadre na watawa. Ni waombezi wa kanisa mahalia kuombea shughuli na kalenda ya kanisa hilo.
Upcoming Meetings
Regular Meeting Schedule
Every Saturday
9:00 AM
Grotto
Next meeting: January 17, 2026
Group Leader
Quick Info
- Group Type Mixed
- Age Range 7-120
- Established 2025